MISTARI YA WIMBO HUU

Kiza kinatanda yeah
Natamani niwe na wewe
Lakini majukumu na umbali oh
Sipo karibu nawe
Hivi ni kweli utarudi kama ulivyoniahidi
Ama ilikuwa tu ahadi na kamwe hautorudi wewe eh

Wewe sio kama wale
Wanaotuma message kama zile za uongo
Wewe sio kama wale
Wanaosema wapo huku kumbe wapo kule
Wapo na huyu kumbe wapo na yule
Sio kama wale!

Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Haudanganyi kama wale (wewe sio kama wale)
Naamini sio kama wale baby (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)

Kiza kinatanda yeah oh
Bado nasubiri
Haya mapenzi yetu matamu
Naomba yasije kuwa shubiri
Mie imara nasubiri najua utarudi
Mapenzi ya mbali wanasema ni hatari
Ohoo mfano juzi simu ilikuwa haipatikani
Sina wasiwasi labda uliisahau nyumbani baby
Marafiki nao wananiambia
Eti baby unaniongopea una mwingine

Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Haudanganyi kama wale (wewe sio kama wale)
Naamini sio kama wale baby (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)

Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Haudanganyi kama wale (wewe sio kama wale)
Naamini sio kama wale baby (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)
Wewe sio kama wale (wewe sio kama wale)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU