MISTARI YA WIMBO HUU

Ndipo, akataka kujilinganisha na mimi
Ndipo akataka kunipanda kichwani
Ndipo nilipomshusha thamani
Wala simkatazi, sababu mie ni wake mumewe
Ila asizidi akavuka mipaka
Wala simkatazi, sababu mie ni wake mumewe
Ila asizidi akavuka mipaka

Akataka kujilinganisha-nisha-nisha na mimi
Ndipo akataka kunipanda kichwani
Ndipo nilipomshusha thamani
Wala simkatazi, sababu mie ni wake mumewe
Ila asizidi akavuka mipaka
Wala simkatazi, sababu mie ni wako mumewe
Ila usizidi ukavuka mipaka

(Aaah ahaa) ahaa! Sipendi dharau
(Ooh ohoo) kwanini unipande kichwani
(Aaah ahaa) nasema sipendi dharau
(Ooh ohoo) eh! Kwanini unipande kichwani

Ninapokupikia chakula sio mjinga
Na ninapokuwekea maji ya kuoga sio mjinga vile vile
Ila ni upendo wangu kwa sana
Basi niheshimu usivuke mpaka
Juzi juzi ulikuja na ka-boy boy
Ukajishaua sana
Ukasema kamechoka tena kako hoi hoi
(Nimuwekee maji ya kuoga)
Aah! Vipi tena taulo langu nimpe!
Hata msosi wangu pia ale!
Hizo dharau, dharau, dharau
Sipendi dharau!

(Aaah ahaa) ahaa! Sipendi dharau
(Ooh ohoo) kwanini unipande kichwani
(Aaah ahaa) nasema sipendi dharau
(Ooh ohoo) kwanini unipande kichwani

Aaah ahaa
Ooh ohoo
Aaah ahaa
Ooh ohoo

(Aaah ahaa) ahaa! Sipendi dharau
(Ooh ohoo) kwanini unipande kichwani
(Aaah ahaa) nasema sipendi dharau
(Ooh ohoo) kwanini unipande kichwani

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI