MISTARI YA WIMBO HUU

This is Barnaba Boy Classic
And Imma The Boy Classic
And Good Music Classic

Haaaya eeh aah
Nyuma nilitaka kuzungumza nawe
Ila nafasi hiyo kwako nikakosa
Sikujuta wala sikulalamika sababu naamini kukupenda wewe sijafanya makosa
Japo nili-suffer, machozi nikaangusha
Ila hujawahi nifuta hata kwa kuniongopea
Ndo kwanza unacheka huku ukinibeza
Na mashoga zako vibarazani kunisimulia
Mpenzi dunia imebadilika bado naweza
Nikakupa pesa na nikawa nakuongopea
Basi vumilia kesho ntapata
Ntakupa kila unachohitaji sababu we ni wangu malkia

Baby wangu I’m sorry iii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii iih
Baby wangu I’m sorry iii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii ii iih
Baby I’m sorry iiih

Oneni navyolia kama mtoto
Kwenye sekta ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko
Na kinachoniumiza ni yangu huruma
Maana mama Barnaba alisihi mwanamke akikuudhi usije mpiga
Oneni ndo na-suffer, huruma yangu inaniponza
Kazi yangu kufungua milango usiku wa manane wenzangu wakigonga
Na kupenda bado nampenda
Namvumilia kila akinitenda
Nahisi hiyo ndio nafasi anayoitumia kuniumiza
Inshallah navumilia najua yataisha
Ipo siku atagundua mi ni wake wa maisha
Na sitamlipizia nitamvumilia na ntambembeleza
Nitamsahihisha kila atakapokuwa atapojikwaa

Baby wangu I’m sorry iii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii iih
Baby wangu I’m sorry iii iih
Sorry iii ii iih
Sorry iii ii iih
Baby I’m sorry iiih

Baby wangu I’m sorry iii iih
Sorry iii
Sorry iii
Baby I’m sorry iii iih

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI