MISTARI YA WIMBO HUU

Tumetoka mbali
Tunapokwenda hawatopajua baby
Najiuliza maswali
Lipi kosa niliowafanyia zamani
Vikao haviishi
Midomoni kwao kuniongelea mimi (yawahusu nini)
Macho kwangu mi
Hufika kipingi mpaka najikwaa njiani
Uwaeleze moyo wangu umeushika wewe baby
Nishike mkono waumbuke tusonge mbele eeh
Waambie duniani hakuna kama mie baby
Nishike mkono waumbuke tusonge mbele eeh

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Usijali baby, wanayosema nilishayajua mwanzoni
Tabasamu usoni, lengo lao kuikatisha safari
Walikupiga picha, nia yao kuniachanisha na wewe
Kumbe ni wako sista, walidhani mi nitakuacha uende
Waeleze pumzi yangu umeishika wewe eeh
Usife moyo, vineno neno kwangu bure baby
Waambie duniani hakuna kama mie baby
Nishike mkono waumbuke tusonge mbele

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Tumetoka mbali
Hamtopajua aah
Tumetoka mbali
Yeaah
Hamtopajua ah

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Wanavuruga mapenzi
Ya washindi wa mapenzi
Wanazalisha maumivu
Ya mapenzi, hatuyumbi
Oh oo oh oo ohoo
Tupendane milele
Eh ee eh ee ehee
Chaguo langu ni wewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI