MISTARI YA WIMBO HUU

Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie

Najiuliza kila siku wapi pa kukutafuta
Ni miaka mingi sana hatujaonana
Napata shida sana
Nataka niwe nawe
Nakupataje pataje nawe huonekani
Uko wapi nieleze
Tafadhali niambie
Hata kwa barua pepe
Au simu ya mkononi
Roho yangu itulie
Roho yangu itulie

Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie

Moyo wangu unaniuma kwani kimya kimetanda
Ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo
Ningekufuata huko
Nikujulie hali
Niachane na mawazo ya kukuwaza wewe
Nakukuota wewe
Iko siku moja moja moja
Tutajaonana nawe
Mimi mimi nawe

Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie

Nionyeshe
Nikufuate
Angalau nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone nikuone

Uko wapi nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI