MISTARI YA WIMBO HUU
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
Ungelijua kwangu huna thamani
Usidiriki kuniweka moyoni
Jasho likishavuja usiruhusu liingie machoni
Ungelijua kwangu huna thamani
Usidiriki kuniweka moyoni
Jasho likishavuja usiruhusu liingie machoni
Mapenzi yamekuwa uongo
Na tena mapenzi yamekuwa longolongo
Kipindi uko kwangu kinyume nyume unaning’ong’a kisogo
Hukunipenda mimi uliwatamani wa mjini
Wamekupiga chini unanikumbuka mimi wa nini
Ndivyo mapenzi yalivyo ukipendwa pendwa zaidi
Ukitendwa tendwa zaidi
Uliona nina faidi na ukafanya kusudi
Ukaona nakushusha mood
(Bye-bye) utabaki unaniangalia
(Bye-bye) utabaki unaniangalia
(Bye-bye) utabaki unaniangalia
(Bye-bye) utabaki unaniangalia
Ulifurahisha wako moyo
Wa kwangu mi ukaweka kihorohoro
Mtoto wa kike sijaumbwa na choyo
Umetamani wengi wamekutoa roho
Nilikuita my love
Nilithamini upendo tena kwa kavu kavu
Asubuhi mwanana tukiamka
Mabusu mengi mengi kwenye mashavu
Hukunipenda mimi uliwatamani wa mjini
Wamekupiga chini unanikumbuka mi wa nini
Ndivyo mapenzi yalivyo ukipendwa pendwa zaidi
Ukitendwa tendwa zaidi
Uliona nina faidi na ukafanya kusudi
Ukaona nakushusha mood
(Bye bye) utabaki unaniangalia
(Bye bye) utabaki unaniangalia
(Bye bye) utabaki unaniangalia
(Bye bye) utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia sina nia ya kukuchunia
Ulipoenda wamekukimbia kuwa wa mwingine
Utabaki unaniangalia sina nia ya kukuchunia
Ulipoenda wamekukimbia umekuwa wa mwingine
Hukunipenda mimi uliwatamani wa mjini
Wamekupiga chini unanikumbuka mi wa nini
Ndivyo mapenzi yalivyo ukipendwa pendwa zaidi
Ukitendwa tendwa zaidi
Uliona nina faidi na ukafanya kusudi
Ukaona nakushusha mood
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
Utabaki unaniangalia
No comments yet