MISTARI YA WIMBO HUU

Haijawahi kutokei hii!
Okay, okay
Alright, alright
History baby
In the making of course
Mwana FA (tutaelewana tu)
Na Noorah au Baba Stars yoh
Sikia…
Utategemea hii (na utaipenda)

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Kila niendapo nawe upo-po
Na kila unionapo ni vituko
Sasa sema kama unataka tuma na shetwaa
Au kama unataka tuwe kaka na dada

Ma, kama nahisi midomo yako iko wet
Unatamani uni-kiss udhani mi ni mwepesi
Unaamini ntaku-diss ka mchau umenka please

Easy! Santoi niko saa hizi

Wanyamwezi japo tumezaliwa TZ

Ushawatangazia wenzako unanipenda

Njoo moja kwa moja binti acha kuremba

Sitakuona kicheche (kwanza uko bomba)
Huonekani mapepe (hauweti sombasomba)
Nazimia unavyotembea na zaidi uniangalia

Ni wazi unanzimia

Kata shauri na kuniambia

Mchana unaumia

Na usiku unalia

Ukija kwangu unanchunia

Vipi, unantegea?

Usiponambia ni nini unategemea?

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Wenos dia simama, njoo sema
Usijiudhi usiumie zaidi, njoo sema
Unajipa pressure za bure, bisele, kuchele

Ka kitoto cha shule adabu za kale mbele

Hudhani unaweza pendwa na mimi?

Au waga unashindwa kusema una nini?

Usiwatume machizi wangu

Naitaka kwa masikio yangu

Hata ukisema hadharani

Naahidi sikuoni changu

Dhumuni nikushushe wasiwasi
Kigugumizi kujikwaza sasa basi

Usigombane na sister ukadhani ma boo
Yote kusema unasita unajipa tabu

Ukiniona unang’ata lips eh (aung’wa)
Na macho yanazimika (unaumwa)
Ujana na mila heshimu hisia zako
Azima jamvi kabla hawajaomba wenzako

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Mwenzako mi naogopa
Huwezi kujua, inawezekana nami nakutaka
Je, unaogopa nini?
Mwenzako mi naogopa
Mwenzako mi naogopa
We vipi! Kwani una miaka 12 mami, njoo
Jamani mi naogopa, naogopa
Aah, acha zako, unanitaka

Hebu tulia, step kulia
Nakupa muda uongee nafasi uache kulia
Unanitega, kwa top hizo ushika mabega
Na bado una imani eti utanitega

Vitendo kama sivioni na bado tu nakumwaga

Kama lafudhi za kipwani tutafute mtoto kitanga

Nakupa nafasi ya kulonga, unaogopa

Nikiondoka nyuma unachonga, unaropoka
Kama maneno siyasikii, kichwani hainiijii, hainijii

Kukaa uchi tu pekee, hairidhii, haivutii

Usiseme na mwili, sema na mimi
Vituko sivizimiii, maneno huniteka mimi

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Unanitega?
(An aah)
Mbona miguu iko wazi!
Unanipenda?
(Hebu huko!)
Mbona kifua kiko wazi!

Njoo useme

You actually think I want you
Of course!
Unacheka nini?
Unalo!
Sina lolote, ovyo!

Pauline Zongo…
Gitaa mama

Miguu wazi (nimekubali)
Kifua wazi (nimekubali)
Sasa unataka niotee rangi ya jisyu (una hatari)
Wewe, sikia
Miguu wazi (nimekubali)
Kifua wazi (nimekubali)
Sasa unataka niotee rangi ya jisyu (una hatari)
We, au hujasikia? Ngoja turudie tena
Miguu wazi (nimekubali)
Kifua wazi (nimekubali)
Sasa unataka niotee rangi ya jisyu (una hatari)

Bwana eh basi bwana
Mwafurahia tu huko, waone!
Alikuwa akimshika shika huyu halafu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI