MISTARI YA WIMBO HUU

Unatafuta kiki na upo kwenye muziki
Ndo kwanza una-hit umetukana mashabiki
Ulikimbia wazazi ukayafanya mabaya
Tena ulimwaga radhi na umepata miwaya
Ulitukana wakunga na wakati una mimba
Ulijiona mjanja kumbe wewe ndio mjinga
Umeombewa kulala umekojoa kitandani
Umetutia aibu kwenye chumba cha jirani

Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha
Huna pakulala, shida umezizidisha
Kutokujiamini, umetapa tapa
Umeliacha dume, umelamba garasa
Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha
Huna pakulala, shida umezizidisha
Kutokujiamini, umetapa tapa
Umeliacha dume, umelamba garasa

Ndio basi tena ushaharibu
Kujifanya mjuaji ushaharibu
Umejitia ufundi ushaharibu
Jipange upya ushaharibu
Ndio basi tena ushaharibu
Kujifanya mjuaji ushaharibu
Umejitia ufundi ushaharibu
Jipange upya ushaharibu

Unataka heshima kutoka kwa wako wana
Mbele ya watoto wako matusi unatukana
Baba yuko ICU, mmeukata umeme
Tena mmeshaharibu acheni mimi niseme
Nilipokuwa chini ulikuwa hunitaki
Leo hii niko juu unataka urafiki
Umechoma sindano na umemeza vidonge
Ulivyo na dharau eti umekunywa pombe

Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha
Huna pakulala, shida umezizidisha
Kutokujiamini, umetapa tapa
Umeliacha dume, umelamba garasa
Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha
Huna pakulala, shida umezizidisha
Kutokujiamini, umetapa tapa
Umeliacha dume, umelamba garasa

Ndio basi tena ushaharibu
Kujifanya mjuaji ushaharibu
Umejitia ufundi ushaharibu
Jipange upya ushaharibu
Ndio basi tena ushaharibu
Kujifanya mjuaji ushaharibu
Umejitia ufundi ushaharibu
Jipange upya ushaharibu

Hebu jaribu sasa kufikiria jambo usiharibu
Umeharibu sasa limekushuka sura ina aibu
Hebu chunga, uchunge, uchungwe usiharibu tena
HK chunga uchungwe, usiharibu tena
We Snura chunga uchungwa
Baby Talha chunga uchungwa
Na Mapacha mchunge mchungo, msiharibu tena
Hebu chunga, uchunge, uchungwe usiharibu tena

(Aah B Daddy)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI