MISTARI YA WIMBO HUU

Aaah
Bin Laden (Tongwe Records)

Majengo Sokoni
Wazazi wametulea kwa kuuza gongo
Ambapo
Kujiuza na drugs ndo’ viinua mgongo
Maskini vipofu matajiri ni chongo
Miaka twenty siyo percent nishatishiwa na maisha ya Bongo
Ndo’ maana
Sichange sura kwa upasuaji wa plastick
Moni ni ambiguity kwenye maisha ya semantic
Chuki timu pinzani na inashindaga hat tricks
Maisha yetu keshayachora Kipanya the artist
Kila kona ya mtaa wamejaa watu na viatu
Watu hawana kazi na wanapata mahitaji matatu
Kama uliyoyashika ni hayo makuu mbele ni shimo
Zilimopita nyayo za miguu ya mbele ndimo
Zilimopita nyayo za miguu ya mbele ndipo
Ninapopita Moni ili kuyasaka malipo
Nishajimix kwenye viduka
Vibanda vya Mr kucha
Sikupata mbuni wala senti ya Hassan Mwinyi ruksa

Wanangu wa street life
Wa kidato mpaka chuoni
Street life
Wa kidato mpaka chuoni
Street life
Wa kidato mpaka chuoni
Wanangu wa kidato mpaka chuoni

Now and then usimsahau mchizi Moni
Usimsahau mchizi Moni
Now and then usimsahau mchizi Moni
Usimsahau mchizi Moni

Am angry
Give me a gun
Let me kill this coackroach
Coz am hungry ok kneel down
Nanasi siyo tango kulila inahitaji mpango
Na ukiwa una mpango wa kando haina maana mkeo hajui mambo
Ukitaka kumkomoa kahaba utaipasua tu condom
Au utamchubua kimahaba
Ujikomoe kisa nyagi na phantom
Na utajuta ukisha** afu kahaba anauvuta mpunga
Wala hajali kama mpishi anayesonga ugali wa mfungwa
Wanaunyea mkono wauza sura (yes)
Siukati nauosha
Wanakula hadi nyama ya chura ingawa wana rasta ka’ Ngosha
Inachosha
Natamani kusema inatosha
Na nawatorture hadi wasisite kusema mi ndo’ kocha
Vijana hupasahau nyumbani wakishapagawa na jiji
Usimkere jirani akikunyima hifadhi ya fridge
Kitaa kimeingia shetani mimi ustaadh nimetoka hiji
Najiuliza nimuokoe nani
Kila mwamba anajiona gwiji
Na anayethamini tungi (yes) ataidharau tochi
Penalty inahitaji ufundi utapaza ukipiga dochi
Mungu wa Roma (note)
Ndiyo mungu wa Bakhresa
Mi nina singda kwenye goti
So don’t mess up

Wanangu wa street life
Wa kitaani mnanisoma
Street life
Wa kitaani mnanisoma
Street life
Wa kitaani mnanisoma
Wanangu wa kitaani mnanisoma

Now and then usimsahau mchizi Roma
Usimsahau mchizi Roma
Now and then usimsahau mchizi Roma
Usimsahau mchizi Roma

Tongwe Records

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU