MISTARI YA WIMBO HUU

Siogi nje ndo maana sina wasi wasi (haaa)
Sina hofu ’cause mi sio mbuzi wa shughuli (oh oh ooh)
Siogi nje ndo maana sina wasiwasi (yeah yeah)
Sina hofu ’cause mi sio mbuzi wa shughuli
Na nakata hizi verse bila wasi (wasi)
Ntakaza mpaka mwisho labda nife kesho
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (hii leo)
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (hii leo)

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda

Uso wako unachukia kipaji changu (haaa)
Moyo wako unafurahia sauti yangu (oh oh ooh)
Uso wako unachukia kipaji changu (yeah yeah)
Moyo wako unafurahia sauti yangu
Hizo kunde sina kabisa mpango nazo (mpango nazo)
Najua wazi mashuzi zitaniongezea more (more)
Walidhani nacheza natania (tania, hii leo)
Mungu sio… rasa… kanipandisha

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda

A-City is in a house, house
Yeah I know you gonna like it (utai, u-u utaipenda)
Aah yeah, I know you gonna like it (kwa moyo kwa chuki utaipendaaa)
I know you gonna like it baby, yeah, aah

Kama nawa-overdose cocaine
Kama nawaweka waiting in vain
Chief men hizi ni level za Obama kwa Mccain
Kwa feeling hizi lazima utoe machozi Hussein
Mashahiri hayalali mtaani yamekuwa security
Microcope haioni impurities
Na-murder this, haya si maigizo ni reality
Nani ana-diss, you just actress, I’m an actor
Nakimbiza huu mchezo kila bakta
Look man, nikianzisha unafata
Ah ah ah ah, I am a shutter
Na kama shutter nashaka ni kina pia
Tunapangilia hatujaribu, usinijaribu
Karibu, karibu nikuharibu ukasimulie
Joh ni Makini kama shaka usitie
Ni bless za Jah, yes bless za Jah
We make this noise, A-City is in the house
Ye-ye-yeah, we in a house
Ah yeah, I know you gonna like it baby

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI