MISTARI YA WIMBO HUU

Kama miti ni dawa
Na hata jua la asubihi lina vitamini
Basi na muziki pia
Uliletwa na Mwenyezi Mungu aliye hai
Ambae kazi zake kamwe hakuwahi kukosea

Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza

Aah River for life you feel me
Makini Joh kwa hizi flow ni somo
Bila muziki ngumu siwagi normal
Valiamu leta usingizi fofo wa pono
Ila vitamin music hukulaza unono

Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza

Raha yake haisimuliki
Ndo maana Belle siwezi kuacha muziki
Baba na mama washanipa go-ahead
Maana twafanya Jah ndo ata-bless
Kwa nguvu zao mashabiki na marafiki
Wakanipa mic mpaka speaker zina-burst
Never lose hope never give up
Kama mziki upo kwenye damu
Never lose hope never give up
Kama mziki upo kwenye damu

Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza

Malimba pia no snare kick gita
Mziki haujaenea ila vitamin pata
Unanifanya nasafiri kimawazo
Unaniongezea feeling ndo maana n’na love
Sauti hii ikisikika wenye love wana-enjoy more than
Tanzania Kenya Uganda Africa
This is vitamin music

Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza

Aah River for life you feel me
Makini Joh kwa hizi flow ni somo
Bila muziki ngumu siwagi normal
Valiamu leta usingizi fofo wa pono
Ila vitamin music hukulaza unono
Naitaka replay kabisa nini once more
Ah naifanya bila kikomo
Vitamin music ndo vitamin maarufu
Haikuchoshi utairudia maradufu
Mziki mzuri ndio familia GMF
Vitamin A huzidisha uwezo wa kuona
Ila vitamin music huwaonyesha mpaka vipofu
Wanasiasa hutumia kuwakusanya watu
Hazina nguvu hotuba zao kushinda sauti zetu
Hauna mipaka dunia nzima unachengua
Bila muziki sitaki maji ni ambavo ingekuwa
Ni tiba hutibu stress zinaua
Katiba ingekuwa wimbo wengi wangeijua
Vitamin B hutuongezea kumbukumbu mazee
Vitamin music huwakumbusha wazee
Ujana wao utoto wao
Hisia na wapenzi wao huwatuliza akili
Protein hutupa nguvu za mwili
Vitamin music huwapa wanajeshi ujasiri
Who is in a house A City
H-I-P-H-O-P asili
Joh Makini Belle 9
Let niggas shine we sign out
Good music

Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Kuimba kusikiiza ku-rap na kucheza
Pata vitamin music
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza
Tunaimba tunasikiiza tuna-rap sometimes tunacheza

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU