MISTARI YA WIMBO HUU

Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe
Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe

Najua mapenzi ni uamuzi wako mwenyewe
Lakini kumbuka wazazi ndio walokulea
Na wana nafasi katika maamuzi yako
Ingawa sasa waonekana mkubwa
Kiumri hata kiakili
Kipato changu cha chini kinanipa wasiwasi
Sidhani kama watanikubali na huu wangu umasikini

Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe
Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe

Naisubiri hiyo siku ya utambulisho kwa wazazi wako
Labda mambo huweza kuwa tofauti navyofikiria
Wasiwasi utaniisha hatimaye funga ndoa nawe
Hizi zaweza kuwa zangu fikra
Lakini wengine watokea
Watoto wanapendana wazazi wanapingana
Sidhani kama watanikubali na huu wangu umasikini

Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe
Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe

Kuna wengi hawajali mtu kutokana na wake utu
Bali wengi humjali mtu kutokana na chake kitu
Pesa ni pesa na mapenzi mapenzi
Mapenzi hayachagui tajiri masikini

Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe
Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe

Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe
Naamini kama kweli wanipenda
Lakini moyoni na wasiwasi bado
Kutokana na tofauti baina yangu mimi na wewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI