Majina Kamili : | Aslay Isihaka |
Kuzaliwa : | 06/05/1995 (Umri wa Sasa 27) |
Mji wa Nyumbani : | Temeke, Dar es Salaam |
Shughuli/Zana : | Mwimbaji/Sauti |
Mahadhi : | Bongo Fleva |
Lebo/Studio : | Poteza Records |
Alioshirikiana nao : | Yamoto Band, Chege, Ruby |
Menejimenti : | Said Fella |
Aslay Isihaka (kuz. Mei 6 1995) ni mtunzi na mwimbaji wa Bongo Fleva kutoka nchini Tanzania aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa na kundi la Yamoto Band.
Aslay ni mmoja wa wasanii wachache walioanza muziki katika umri mdogo ambapo mwaka 2011 alitoa wimbo wa Naenda Kusema uliomtambulisha rasmi kwenye soko la muziki.