Majina Kamili : | Naseeb Abdul |
Lakabu : | Chibu Dangote, Simba |
Kuzaliwa : | 02/10/1989 (Umri wa Sasa 34) |
Mji wa Nyumbani : | Kigoma, Tanzania |
Shughuli/Zana : | Mtunzi, Mwimbaji/Sauti, Gitaa |
Mahadhi : | Bongo Flava, Afro-Pop |
Lebo/Studio : | WCB/Wasafi Records |
Alioshirikiana nao : | Ommy Dimpoz, Victoria Kimani, Linex, Davido, Iyanya, Bracket, Flavour N'abania, Ne-Yo, Tiwa Savage, Morgan Heritage, Patoranking |
Menejimenti : | Babu Tale/Said Fella |
Tovuti : | www.wasafi.com |
Naseeb Abdul Juma (kuz. 2 Oktoba 1989) almaarufu –Diamond Platnumz– ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania.