Dully Sykes

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 04/12/1981 (Umri wa Sasa 39)
Mji wa Nyumbani : Dar es Salaam
Shughuli/Zana : Mwimbaji, Mtayarishaji
Mahadhi : Bongo Fleva, Dansi
Lebo/Studio : Bongo Records, Dhahabu Records
Alioshirikiana nao : Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Lady Jay Dee, Harmonize, Joslin, Blu

Abdul Sykes, maarufu kama Dully Sykes, Handsome au Mr. Misifa ni mwimbaji mkongwe na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Dar es Salaam, Tanzania.

Pamoja na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 kwenye muziki huu, Dully hutajwa na vyanzo kadhaa kuwa muasisi wa aina ya muziki unaofahamika sasa kama Bongo Fleva.

Mwanamuziki aliasisi pia mtindo aliupa jina la ‘mwanasesere’, ambapo mashairi karibu yote ya nyimbo zake kama Nyambizi, Julieta, Historia ya Kweli na nyinginezo yalikuwa yakizungumzia mapenzi kwa namna ya tofauti.

Dully Sykes ni miongoni mwa wasanii wachache bora ambao hawakuwahi kushinda tuzo maarufu za muziki nchini humo, maarufu kama Kilimanjaro Music Awards.

Miongoni mwa kazi zake maarufu ni Nyambizi iliyomtambulisha, Hunifahamu, Inde, Shikide, Ladies Free na nyinginezo.

Toa Maoni Hapa

dully-sykes-kava

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

2. Bijou
3. Dhahabu
6. Hi
7. Inde
10. Leah
11. Nyambizi
12. Salome
13. Shikide
14. Togola
15. Yono
16. Ameen
20. Uwongo
21. Action