Kilimanjaro Band

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 01/07/1989 (Umri wa Sasa 34)
Mji wa Nyumbani : Tanga, Tanzania
Shughuli/Zana : Bendi
Mahadhi : Dansi, Rhumba
Alioshirikiana nao : MwanaFA, Kassim Mganga, Mandojo & Domokaya
Tovuti : wananjenje.blogspot.com

The Kilimanjaro Band, ambao pia hufahamika kama ‘Njenje’ ni bendi ya muziki wa dansi nchini Tanzania na inayotambulika kimataifa.

Bendi hii ilianzia mjini Tanga, miaka ya 1970 na baadae kuhamia Dar es Salaam wakitumia majina tofauti kama The Love Bugs na The Revolutions. Ziara ya bendi hiyo nchini Uingereza mwaka 1989 ikapelekea kubadili jina na kuitwa Kilimanjaro Band hadi leo.

Njenje, wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 35 wamejizolea umaarufu kutokana na upekee wa uimbaji wao ambao huchanganya vionjo vya muziki wa asili.

Bendi huundwa na wanamuziki mahiri na wakongwe kama John Kitime, Waziri Ally, Nyota Waziri, Mohamed Mrisho na wengineo.

Toa Maoni Hapa

kilimanjaro-band-kava

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

1. Kachiri
3. Somo