Majina Kamili : | Korede Bello |
Lakabu : | Mega Superstar |
Kuzaliwa : | 29/02/1996 (Umri wa Sasa 27) |
Mji wa Nyumbani : | Lagos, Nigeria |
Shughuli/Zana : | Mwimbaji, Mtunzi/ Sauti |
Mahadhi : | Afro-pop |
Lebo/Studio : | Mavins |
Alioshirikiana nao : | Harmonize, Don Jazzy, Tiwa Savage, Asa, Di-Ja |
Menejimenti : | Mavins, Don Jazzy |
Tovuti : | koredebello.com |
Korede Bello ni mwanamuziki kutoka nchini Nigeria aliyeko chini ya lebo ya Mavins anayeimba miondoko ya Afro-pop. Mafanikio ya Korede ni pamoja na kuteuliwa kugombea tuzo ya Msanii Bora wa Nigeria mwaka 2015 na 2016 mfululizo.
Miongoni mwa kazi maarufu za Korede ni Shulala aliyoshirikishwa na Harmonize, mwimbaji Mtanzania kutoka lebo ya Wasafi.