Mji wa Nyumbani : | Mbeya, Tanzania |
Mahadhi : | Bongo Fleva, Hip-Hop |
Mwimbaji na mtunzi kutoka WCB, lebo ya muziki kutoka nchini Tanzania inayomilikiwa na nguli wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz. Natafuta Kiki ni miongoni mwa nyimbo maarufu zinazomnadi Rayvanny.