Victoria Kimani

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 28/07/1985 (Umri wa Sasa 37)
Mji wa Nyumbani : Nairobi
Mahadhi : Afro-Pop, R&B
Menejimenti : Chocolate City

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya aliyezaliwa Marekani. Kwa sasa hufanya kazi za muziki nchini Nigeria na kampuni ya Chocolate City.

 

 

Toa Maoni Hapa

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

1. Prokoto