Wimbo ni Mali ya Nani?

NAOMBA nianze makala ya leo moja kwa moja kwa kuuliza swali. Wimbo ni mali ya nani miongoni mwa wanamuziki wa Tanzania? Sababu ya kuuliza swali hili ni migogoro ambayo imekuwa ikijitokeza miongoni mwa wanamuziki wetu kudaiana uhalali wa umiliki wa nyimbo. Naomba nitoe mifano miwili ya matukio ya hivi karibuni. Mfano wa kwanza ni mgogoro […]