MISTARI YA WIMBO HUU

Navyozimwaga flow kama ingekuwa pesa Jack Pemba
Swag Master cheki hii beat navyoiremba
Meza rap ukizubaa mi nawapiga chenga
Madogo sio marefa ila ma-B kwa kupenga
Wao wanapenga mi najichenga
Mziki naupenda sana imefika time nilete mshenga
Siku hizi watoto wa kishua wanajifanya watoto wa ghetto
Wakati home fresh yaani mambo yame-settle
Wanajiona wamepinda kisa bangi za kimento
Ni sawa una demu mkali afu bado unapiga nyeto
Una kesho usichukulie poa aisee
Ujana wako tamba ila fainali uzee
Ukiona inaingia deep basi nipotezee
We omba sana ila utakombewa na padri au shehe

Country nakufuata twende club
(Aaah wapi!)
We staa mademu utateka wasaa
(Aaah wapi!)
We njoo kuna mademu wanakukubali
(Aaah wapi!)
We staa tafuta Bongo Movie mkali
(Aaah wapi!)

[Bridge] We kama unani-feel unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal
We kama unani-feel unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal

More money more problem
Shida kwenye cargo flow heavyweight
Mayweather usisogee mmh bado
Kila mecho wanaocheza wanaishiwa pumzi bado
Kuna tuzo inawatunza wapuuzi hujui bado
Wapeni ripoti wasiozipata hatupigani na madogo
Tunawachapa na wakilia tunawabembeleza tukiwapakata
Na haikuwa rahisi kufika hapa
Ndo maana nkaamua ku-change style za kitozi waachie Wakacha
Ku-change style tu mi mwepesi kama Jet Lee
Grade ya kivina kung fu au tai chi
Paah papaah! Get them if that’s meal
Usilete competition na madogo yeah trust me
Mashabiki wapumbavu watahisi beef
Lakini ntabeba dhambi zao kama Yesu Kristu
Siku hizi nashinda studio hiyo sio club au bar
Yeah sio club au bar
Siku hizi nashinda studio hiyo sio club au bar
Mademu zao wakiniona “why you so Kendrick Lamar huh?”

Country nakufuata twende club
(Aaah wapi!)
We staa mademu utateka wasaa
(Aaah wapi!)
We njoo kuna mademu wanakukubali
(Aaah wapi!)
We staa tafuta Bongo Movie mkali
(Aaah wapi!)

We kama unani-feel unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal
We kama unani-feel unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal

Yeah I thought I told you man
It’s about time to make money
You know… hee I smell money man

(Aaah wapi!)
Mambo ya kwenda club sijui nini
(Aaah wapi!)
Eee mara demu anakutaka
(Aaah wapi!)
Mambo sijui just I made it sijui nini
(Aaah wapi!)
Aah staki vita staki vita
(Aaah wapi!)
Mademu wa kihuni staki staki tena
(Aaah wapi!)
Nataka mchongo mimi sitaki tena

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI