MISTARI YA WIMBO HUU

Wande ingumbu
Wande yamalila
Wande ingumbu
Wande yamalila
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah, yeah

Ni kama niliruka majivu na kukanyaga moto
Matusi na kunifedhehesha ikawa malipo
Ya pendo langu kwako
Mbele za watu nikapiga goti
Nikaweka pete ya uchumba kwenye kidole chako
Kumbe ulikua chupa ukang’aa
Kwenye jua kali, nikadhani almasi
Nikakupenda kwa kasi

Baby I don’t wanna waste my time
To change how you feel
If you don’t want me someone will

Wensize, ngakaze bamuchali
Katagi lanyina
Wensize, ngakaze bamuchali
Katagi lanyina
Katagi lanyina (katagi lanyina)
Aa Aifola ah
Aa Aifola
Yeah, yeah, yeah, yeah

Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona mi ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe

Kwa kuziamini hisia zangu
Nikakukabidhi moyo wangu Aifola
Kwa kudhania siku moja
Mi nawe tutafunga ndoa
Aifola, ayayaya
Nitakutafuta ili nilipe japo theluthi ya wema wako
Jicho lako la wema kwangu limekuwa deni
Moyoni mwangu
Siwezi kukuvua wema na kukulipa mabaya, kwa kosa moja
Siwezi kukuvua wema na kukulipa mabaya, kwa kosa moja
Yale maumivu uliyonipa, nimeshayasahau

Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona mi ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe

Baby I don’t wanna waste my time
To change how you feel
If you don’t want me
Someone will

I don’t wanna waste my time
To change how you feel
If you don’t want me
Someone will

Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona mi ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake
Ye mwenyewe
Ye mwenyewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI