MISTARI YA WIMBO HUU

Move on
You know
Switch
Hakuna anacho (miss miss)
It’s her time (time)
Hakuna anacho (miss miss)
It’s my time (time)

Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe
Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe

Umeumbwa kwa udongo gani
Maswali mengi kichwani
Umenikaa rohoni
Tena ni mwingi wa hisani
Mbele kisa sioni
Kamwe sio limbukeni
Hiyo midomodomo midomodomo
Haitufitini
Mikeke mikeke ya jirani
Maneno maneno vinywani
Wacha wapige kelele
Tusonge mbele
Wewe na mimi
Mikeke mikeke ya jirani
Maneno maneno vinywani
Wacha wapige kelele
Tusonge mbele
Wewe na mimi

Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe
Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe

I care for the woman
Respectable woman
She said kuwa na amani
Let’s talk about it honey
I said collect money
No fight for the money
How far can we earn it
I get it honey
Msichana mwenye imani
Pesa haina thamani
Unapenda utani
Kweli umefundwa ngomani
Tuwe kama peponi
Achana na ya duniani
Hiyo midomodomo midomodomo
Haitufitini
Mikeke mikeke ya jirani
Maneno maneno vinywani
Wacha wapige kelele
Tusonge mbele
Wewe na mimi
Mikeke mikeke ya jirani
Maneno maneno vinywani
Wacha wapige kelele
Tusonge mbele
Wewe na mimi

Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe
Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe

He care for the woman
Respectable woman
I say kuwa na amani
Let’s talk about it honey
I say collect money
No fight for the money
How far can we earn it
I say let’s get it honey
We nuru yangu ifikapo usiku
Njoo karibu mimi nikubusu
Kukuacha wewe ni vigumu
Nasadiki kuapa kwa Mungu

Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe
Aiyola Aiyola
Aiyola iwe
Aiyola Aiyola
Ni bora iwe

We nuru yangu ifikapo usiku
Njoo karibu mimi nikubusu
Kukuacha wewe ni vigumu
Nasadiki kuapa kwa Mungu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI