MISTARI YA WIMBO HUU

Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time

Sikupi sifa mwisho wa siku ujisifie
Unachonipa hakika umenifanya nikuimbie
Nakuita malaika acha shetani nmkimbie
Speed yako inaonyesha umeridhika kuwa na mie
Ni kweli umenikubali haraka sema unazuga
Uko fasta nikikuita unakuja nyuma ya muda
Hupendi mashuuda kuja kwa tukio
Huchoreki na wakuda ghetto unavyoingia mbio
Kama namba nakupa moja
We ni zaidi ya mwamba
Ngoja nkuanikie story zikakauke juu ya kamba
Eti wanakuita mshamba,awajui umenibamba
Ulivosec sitoziba pua hata ukijamba
Waza kwanza kabla ya maamuzi
Hushobokei mikwanja We sio mbwa augeuki kwa miluzi
Upo on time nikikutaka sina wenge
Una nipa nachotaka sasa kwann nisikupende

Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time

She got the vibe never seen before
Ananipa knock knock na washkaji
She got the vibe never seen before
Ananipa knock knock na washkaji
Na washkaji na washkaji yeah yeah country boy

Huna muda wakupoteza ya kesho unafanya leo
Nikichoka ushaleta pweza sa kwanini nisikupe vyeo
We ni mtu wa vitendo kipi nimekosa mumeo
Mkwepa skendo hupend kuharibu taifa la leo
Na una upeo wa kuhisi kama umeumbwa na machale
Upendo uzidi kisha tupige story za kale
Nipe hisia za mapenzi na mizuka ya kupale
We ndo ndoto npe hisia za usingizi nkalale
Sifanyi mabaya naisu unaniona nilipo upo
On time mbaya chunga usiwahi pika kifo
Acha nikupende meridhika kua na wewe maa
Dunia adaa, walimemwengu darasa la mtaa
Sifanyi mabaya naisi unaniona nilipo
Upo on time mbaya chunga usiwahi paka
Kifo, acha nkupende nimeridhika kua na ww mamaaa

Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI