MISTARI YA WIMBO HUU

Yoo Madee
Yooo hellow Captan Tunda Man wa TIP mchukue dogo huyo
Mpigie chours nini dogo achane anajua or right

Anajua ndo maana tumemchukua
Hakuna asiyejua kama dogo anajua
Dogo Janjatoka TIP
Mtoto mwenye bidii anakipaji
Unamkubali sema aahh

Kimbiza kinyama mpaka maboya wanahema
Hakuna kuhanya tunawameza tunawatema
Wataipatapata fresh ya mwaka mpaka watatetemeka
Kuona Obey na Mecca tuko full mzuka
Magoro
Mianzi up to Ngarenaro
Masoro
Wameishiwa aidia wanatuberoo
Yeroo
Sasa sisi za kiwili sniper
Hakuna kugwaya vivempaya
Tunachana mbaya like stopper ra wa fire
Dogo Janja mimi
Kachaa wa Unga Limi
Sirushagi ngumi
Nawachapa tu na ulimi
Kwa michano kichomi kama ulikuwa hunisomi
Dogo Janja sikwami
A Town Hustler Army
Tupo japo hatuvumi
A.Town sio Miami
Dogo Janja kamanda
Like coplo ndamanga
Watoto wa mama leo tunawavisha kanga

Anajua ndo maana tumemchukua
Hakuna asiyejua kama dogo anajua
Dogo Janjatoka TIP
Mtoto mwenye bidii anakipaji
Unamkubali sema aahh

Nazidi kupanda
Navuta na muda nazidi kimbiza
Na wida na shada nazidi kuvuta
Nipe kipaza nipate kumeck malaki,
Nishike ni mic bunduki
Napo kwenda ni mbali
Cha kushaangaza sifiki
Napiga push up kuchana
Hip Hop ni kama ni demu sitaki kunyapu
Napiga sitaki kubip
Watoto wa mama tunawavisha kapu
Yoo sipigi masiga kiniger
Wanajiona ma hard core uku wakati wanaiga
Na wale watoto wa mama wanaiga maskio kutoga
A Town tutawamega viboga
Kibaka kakaba kahaba kaiba mkoba katika mkoba kakuta kiroba kakuta
kizoba kakuta ratiba msiba
Hehehe huyoo kakuta ratiba msiba

Anajua ndo maana tumemchukua
Hakuna asiyejua kama dogo anajua
Dogo Janjatoka TIP
Mtoto mwenye bidii anakipaji
Unamkubali sema aahh

Helow people au sio bana
Bana Dogo Janjaroo toka Mkoa wa Killimanjaro
He he au sio bana
Hamna dogo anaeza kuchana kama mimi
Hakuna hakuna mi mkali inaeleweka
Unaona mpaka na cheka ha ha ha
Pamoko au sio mapaiya
Tajiri wa mahaba toka Manza Bay Tanga
Kassim Mganga na Tana Luz
Ha ha watazima fegii mkali

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI