MISTARI YA WIMBO HUU

Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh

Uu uh arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto

Nikaanza peleka round kwanza
Nikamuendea kumuombea tenga mamaa
Nkamvuta chemba tema cheche kadhaa
Kumuomba denda akaniambia tamaa
Mbona less hata kujuana jamaa”
Nikaenda less sikushtuka kwamba
Labda huyu sio demu wa majina na material
Ni ngumu kumpa vina aingie interior
Mi huwaga OG hujasikia Original”
Nataka nikumiliki sitaki kiki no

Ou ou uh
Nakusakanya kila kona sikuoni
Napaperemba uko wapi mamii
Nakusakanya kila kona sikuoni

Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh

Uu uh arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto

Kukushika ukanizungushia
Kukuomba namba ukanizungusha
Ukanambia why you worry G
Tupo wote mpaka kuna kucha”
Nkadhani yangu yote kumbe chaukucha
Unanirusha rusha
Samaki nje ya maji umenivusha vusha
Haukuniaga alamsiki no
Haukuniachia signal
Umeniacha tu na ala ya mziki oh

Nakaperemba uko wapi mamii
Nakusakanya kila kona sikuoni
Nakaperemba uko wapi mamii
Nakusakanya kila kona sikuoni

Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha eh
Na hii arosto yangu nani aniponye
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh
Gari umeniwasha gari umeniwasha
Gari umeniwasha eh

Uu uh arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto

Mama ma-ex wangu na uwa-diss
Maana ma-ex wangu wote walikuwa rahisi
Sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this
Sikujua mi sijui kutongoza like this ah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kuwa ngekewa
Ni kuanza kuondokewa
Na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wake leo mtoto kapotea
Ah

Uu uh arosto usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto usiniache na arosto
Baby baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU