MISTARI YA WIMBO HUU

Si vibaya
Siku moja ukikaa na umpendae
Na kumwambia (asante)
Yeah!
Hah ah ah kwa yote aliyokufanyia
(Asante) mko wote long time
Mnapendana mnaheshimiana

Na na
Na naomba leo unipe nafasi
Unipe quality time ili wasitughasi
Nikueleze kitu muhimu toka kwa yangu nafsi
Nitazame straight machoni usiwe na wasi
All the time
(Unanifanya mi nitabasamu)
Talk to me girl
(You make my life niyaone matamu)
Hell yeah
(Nnavyoku-feel)
(Ujue vile nnavyoku-feel)
Yeah it’s been a while mi na we tuna-survive
Popote tupo wote
Tupo happy kama vile butterflies
Kwa mapenzi matamu
Yanaonifanya kila saa mi nitabasamu
Umenipa furaha kweli umenipa raha
Unanifanya mwenzio nisahau mpaka karaha
Nimepitia mambo mengi sana nawe
Mengine mazuri mabaya
Ndo maana nasema

Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha
Siwezi kukuangusha niamini
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha
Siwezi
I believe you’ll never let me down

Kwangu we ndo taa
We ndo unanifaa
Kwako nishakaa
Mungu atuepushie balaa tuzidi songa right
Moyoni we ni ice cream
Unanipoza usiache na kunipa utamu
I’m sorry kwa yote niliyokukosea
Na-struggle all the time ili nisije potea
Sweetheart
Know that I care about you
Bado tuna long journey witchu my boo
Sometimes (sometimes)
Nakuwa arrogant,
Nakukosea mpaka kuniona hutaki
Najiona mwenye bahati ingawa wengine hawataki
Chance kwangu hawapati twende heart to heart
I trust you believe in you
We ndo my boo
We ndo unanifanya nikwambie hivi
Una taste kwenye nguo una taste kwenye mapishi
Kwenye game we ndo queen haina ubishi

Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha
Siwezi kukuangusha niamini
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha
Siwezi
I believe you’ll never let me down

Mapenzi yako
Mapenzi yako
(Love you love you love you love you love you)
Vile unavyonijali
Vile unavyonijali
(I’ll love you love you love you love)
We were meant to be together
No one else could do it better
Than you boy
Than you boy

Asante
Hell yeah
Love’s in the air
Asante inatambaa coast to coast
Karibisheni furaha ndani yenu
Si kugombana au kukomoana right
Right
Na kama uko nae karibu
Fanya kum-kiss
Na kama uko nae mbali
Mwambie umem-miss
Yeah
Woo

Akonyirani tabu nilizopitia ngavuni
Milele we ni wangu
Wenye kununa na wanune

Asante
I can’t live without you
Baby
We were meant to be together

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU