MISTARI YA WIMBO HUU

Mwenzio niko taabani
Mathalani ya hatiani
Hukumu yangu ni kifungo na huyu binti
Vicheche sasa mimi basi (basi)
U-bachelor mimi naumwaga
Majukumu nayapata yeah
Ridhiki anatoa Maanani
Lazima mke wangu anijali
Nakupa moyo wangu, please, usiutoboe
Napokuwa niko busy tafadhali usinichukie
Natafuta pesa, natafuta pesa

Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha

Itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
Pamoja na wazazi, siku yetu ya harusi
Nakupa moyo wangu
Please don’t hurt me (don’t hurt me)
Nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako
Itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
Pamoja na wazazi, siku yetu ya harusi
Nakupa moyo wangu, please, don’t hurt me
Nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako

Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha

You’re my heart, my pain, my gain, my benz
My star, my love
You’re my angel
You’re my heart, my pain, my gain, my benz
My star, my love
You’re my angel

Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha

Asha baby, you drive me crazy
Everytime I see you, you make me wanna go crazy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU