MISTARI YA WIMBO HUU

Aza Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Aza Aza ah
(Mtoto wa Kariakoo mtoto wa Kariakoo)
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita golo
Ukweli sio golo
Mapenzi ndivyo yalivyo

Eyo flow nazi-fix so bad
Navyo-feel bad just like na-play card
More motivation
More money
More play
Visa na vituko unavyofanya siongei
Ngwair
Kama Ngwair akakuita She-Got-A-Gwan
Pozi mpaka pozi za Blue ukiwa chumbani
Ulivyodeka dah ndo unanipa burudani
Umenipa thamani kwa mwingine sitamani
Kama umezaliwa mi nisota
Mwanao hata mia naokota
Ukirudi kwangu ka naota
Unavyonitunuku naogopa
Mtaka nyingi ukosa na saba
Usipende madingi utakuja kuvaba
Tulia na mimi tuishi pamoja
Tukikosa leo kesho inakuja

Aza Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Aza Aza ah
(Mtoto wa Kariakoo mtoto wa Kariakoo)
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita golo
Ukweli sio golo
Mapenzi ndivyo yalivyo

Ile love nayotaka kwako naipata
Siwezi kusaka vingine kwenye vichaka
Unavyokata mpaka nadata
Kama love ni uchafu Kariakoo zitupwe taka
Mungu akupe imani uzidi kunithamini
Na akulinde na shetani ufate miongozo ya dini
Atuweke vyema duniani mpaka tukienda chini
Kila siku furahani shida raha na mimi
Kama umezaliwa Minesota
Wanaogharamia unaokota
Ukirudi kwangu ka naota
Unavyonitunuku naogopa
Mtaka nyingi ukosa na saba
Usipende madingi utakuja kuvaba
Tulia na mimi tuishi pamoja
Tukikosa leo kesho inakuja

Aza Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Aza Aza ah
(Mtoto wa Kariakoo mtoto wa Kariakoo)
Aza Aza ah
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita golo
Ukweli sio golo
Mapenzi ndivyo yalivyo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI