MISTARI YA WIMBO HUU

Sema whatever you like
This is more than Hip Hop
Utanielewa
Unanijua, unanisikia? (wewe)
Ni binamu yako once again
Another four minutes of funk
Na Marco Chali
Yeah, kama kawa

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Ona na walk kama champion, talk kama champion
Watu wangu halisi wanafahamu kuwa mi ni don
Mwenye mbinu za medani na miaka mingi jeshini
I’m the one man army (the one man army)
Mi ni almasi mchangani, sema tu sijashtukiwa
Mgodi unaotembea, wajinga wanashindwa kuelewa
Usiseme najua hata uswazi nafagiliwa
So ukiniita brazameni watu watashindwa kuelewa
Sio gangsta, sio wanksta, ni hustler kabisa
Kwenye biashara Masawe kama professor
Nirushe na mkwanja wangu uone unavyokuwa kipusa
Utachekwa na Bongo nzima kama utaniona kibisa
Watu wana hekima zao wamemegewa vicheche wao
(Vicheche wao?!) eeh, sembuse kigweri mwenzao
Tusigombanie vicheche huo ni urithi wa kwetu
Vyote inawezekana, pekupeku au na viatu

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Nasema tu nasema sio lazima hata muelewe
I’m so ahead of time, acha tu nizungumziwe
Kama huna bahati mbaya, huna bahati kabisa
Utataka uniue tukianzishiana mikasa
Mi ni msafi kama pesa mpya, usibishe waza upya
Wazo la kwanza la demu wako baada ya mwaka mpya
Sifanyi move mpaka niwe na plan B
Mi ndo B iba majina, madaftari na peni
Bado hunizibii, full moon, underground, fire hidden in the wood
Don’t hate the player, hate the game, don’t be mad
Usifanye ubinafsi, kucha ulipwa kwa meno
Ndo maana nilirusha jicho alipozidisha maneno
Siku huisha baada ya kuanza, ni Mungu hupanga
Mfuate aijuae njia, unaenda Mwanza, usitokee Tanga
It ain’t easy been king of the city
Ni DSM finest, still your cousin msiogope

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Nyama choma na–ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Easy pimbi, B yu ndani ya building
Imbia masela, B anawaimbia mabinti
Binamu mfano wa Jigga, kwenye mashavu nalipa
Nataka wasionitaka nahakikisha wanamegeka (sawa sawa)
Demu akisema ananichukia anamaanisha ananzimia
Kicheche akinikimbia muache atarudi analia
Walishatabiri ya kwamba ntakufa tajiri
So punguzieni maswali napowakaba hata vivuli
Of course I want it all vya jua na mvua kali
Tukishindana babuu umekumbwa na ajali
Unene wangu achana nao, jali biashara zako
Nyama choma na–sss, sio kila kitu nijuacho
I’m the name of the game, mtu na hekima zake
Mara moja moja suti, ukinikuta unikumbuke
Ukigundua kuwa ulidata ukamuonyesha utupu mkweo
Utamuangalia vipi leo?

Sss sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo
Nyama choma na ssh! Sio kila kitu nijuacho
Nipo kitambo na nayaona tu hayo mambo
Sssh! Binamu show me some love
Sssh! Binamu ndo jina la mchezo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI