MISTARI YA WIMBO HUU

Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa

Nampenda kama ringtone
Hana maringo
Huyu binti mtam tam
Swagga zake zipo simple
Hapendi dingo
Haniishi ham ham
Niko nae sina nyimbo
Nikatoa single
Mpaka sasa na album
Mi mkali wa mitindo
Hategi mingle
Kitandani masham sham

Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Dem mama, dem papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh

Tukutane tena baadae eh
Ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh
Si baadae eh
Usikose kuja baadae eh
Ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh
Si baadae eh

Baadae eeh
Niko nae ee hee
Baadae eeh
Niko nae ee hee

Unang’aa bila lotion
Mkali wa fashion
Baby kama umechorwa
You’ve got a temptation
Sitaki nikukose
Matajiri wakanipora
Penzi langu sio boshen
Usijipe question
Mimi ndiye mume bora
Wananipangia mission
Ili unitose
Nimemuachia Mola eh

Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Dem mama, dem papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh

Tukutane tena baadae eh
Ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh
Si baadae eh
Usikose kuja baadae eh
Ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh
Si baadae eh

Baadae eeh
Niko nae ee hee
Baadae eeh
Niko nae ee hee

Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si mi nadata
Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si mi nadata

Tukutane tena baadae eh
Ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh
Si baadae eh
Usikose kuja baadae eh
Ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh
Si baadae eh

Baadae eeh
Niko nae ee hee
Baadae eeh
Niko nae ee hee

Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu

Mobenga!

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI