MISTARI YA WIMBO HUU

S2kizzy baby
Ayoo Lizer

Chi
Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeh Zombi baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Makonda baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao

Ngoma kwa ngoma ni kopo koko
Leo ndani twakesha popo
Waiter sambazia moko moko
Moja baridi moja moto
Mmechoka eti (aah wapi)
Mnataka lala (aah wapi)
Tungi limezidi (aah wapi)
Tuzime muziki (aah wapi)

Asa twende kisamugile sambamba
Hapo vipi inabamba
Inogile inatamba
Basi chanika musamba

Eeh
Wataweza kweli (aah wapi)
Kushindana nasi (aah wapi)
Hata wakiungana (aah wapi)
Matusi kututukana (aah wapi)

Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeh Zombi (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Mwakyembe baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao

Hajib selema Adija selema (selema)
Mondi nyangema shimo ametema (ametema)
Amefosi bifu mseleleko (eeeh tumemkwepa)
Amebaki masononeko (eeeh wanamcheka)
Kwanza kunja goti (lee kunja goti)
Kisha vua shati (eeh vua shati)
Cheza kama monkey (ai)
Vunja ukidanki danki

Eeeh
Tumewachapa (kidude)
Hakichomoki (kidude)
Kimewanasa (kidude)
Wanatapatapa (kidude)

Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh

Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Majaliwa baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao

Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo)
Jamani navua (acha uongo)
Mama navua (acha uongo)
Mwenzenu navua (acha uongo)
Eeeeh kuna BASATA
Basi napiga yope (huwezi)
Oh napiga yope (huwezi)
Iyobo napiga yope (huwezi)
Mi napiga yope (huwezi)
Eeh eeh eeh eeh eeeh
Eeh eh eh eh eh eh eeeh
Tale napiga yope (huwezi)
Mi napiga yope (huwezi)
Momo napiga yope (huwezi)
Fungwe napiga yope (huwezi)
Eeh eeh eeh eeh eeeh
Eeh eh eh eh eh eh eeeh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU