MISTARI YA WIMBO HUU

Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Bizzy Babylon, Bizzy Babylon
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi

Yeah!
Ilikuwa Jumapili mchana Bilicanas
Nilipokwenda kwenye dili za kuchana
Nakutana, na msichana
Oh my God nimempenda sana
Hello, hello, hello baby mama
Hello mama tunaweza kujuana
‘Ah Blue bana acha papara’
Sista duu bana ebu acha masihara
Mbona nishaweka pembeni biashara
Za masihara, hizo mimi wala
Nataka nisifu unavyong’ara
Kuanzia unyayo na kila idara
Umesimama, tena imara
Na mi nimesimama, kama mnara
Anachukua simu yangu anaandika namba zake
Kwenye shavu langu zinabaki alama za lips zake

Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi

Kesho anapiga simu anasema nam-drive crazy
Anataka tuwe kama Beyonce and Jay Z
Na kama mechi tayari amekula jezi
Kama shwari niende kwao Mbezi
Ah shwari, mi habari sina
Na kama iko tayari leo namualika dinner
Siku inafika nakula vitu vitamu
Namlisha anakula, anatabasamu
Anakunywa akilewa poteza fahamu
Fanya mitikasi ya kwenda kutafuta room
Nipate room ya kwenda kumwaga sumu
Kabla ya kumwaga sumu, kwanza nawasha ndumu
Namwambia mambo muhimu
Wapigie wazazi wako waambie uko na mimi
Siku hizi sio mtoto wa mama, mtoto wa mjini
Nazama mpaka chumvini anasema..
‘BAKI NA MIMI!’

Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi

Kesho kutwa, mipango ya harusi
Hakuna tena zinaa, hakuna tena matusi
Wazazi wanatupa baraka
Kamaso maso namchukua haraka bila mashaka
Bonge la nyumba, bonge la gari (duh!)
Bonge la mchumba, bonge la mwali (uuh!)
Nikikumbuka tulipokutana aah
Ni Bilicana huwa nacheka sana
Ama kweli mapenzi, kokote mnakutana
Penzi wanapendana, shenzi wanatendana
Hawana maana na ndo maana wana laana
Kama unae wako cheza nae nyuma mbele
Mwambie aache kuchepuka, aache misele
Baraka tele, mapenzi tele
Furaha tele eh, na rafiki wale pilau hiyo siku ya vigere gere

Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi

Baki na mimi
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Hamba nera, hamba nera, hamba nera
Baki na mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI