MISTARI YA WIMBO HUU

Si tunakula bata mpaka tuna-cease
Kuhusu bili ondoa shaka just take it easy
Siite mademu pekee mpaka machizi
Eyo mnyama, RIP Ngwea Coweezy
Couple of drinks, couple of liquors
Niko na machizi naona mademu wanamiminika
Watu, wanazidi kuwaka, bata nataka
Na mimi nawapa, sina mashaka
Siwazi kuhusu dough
Nafanya kile nachohitaji, ukilewa kunywa maji
Namtafuta demu wa kumleta upigaji, yessir
Cheki watu walivyolegea tunawaka
Hadi choo cha kike tuna-share

Party leo ina-kick all night
Na mademu wana-feel alright
Party leo ina-kick all night, mafia

DJ, piga banjo
DJ, piga banjo
‘Cause party imependeza, na ma-shawty wameelea
Na drinks zinatembea, party
Tuna party leo
Uuh Tuna party leo
Uuh Tuna party leo
Uuh Tuna party leo
Uuh

Tuna party party leo, yaani leo ndio party yangu
Tuna party party leo, yaani leo ndio party yangu
Party sio party mpaka mnyama akam-through
Party limejaa masista duu
Yaani party leo, kila siku yaani party leo
Anha

Party vibe makes you feel alright
Nakupenda wala usione utani
Party girl makes you feel alright
Nakumiss sana wewe

Party vibe makes you feel alright
Nakupenda wala usione utani
Party girl makes you feel alright
Nakumiss sana wewe

Naiona it’s a party, girl
Naiona it’s a party night
Kisha, nadondosha, najibonda
Najiweka kiboss, nigga nimenoga
Kisha nadondosha, najibonda
Najiweka kiboss, nigga nimekoga, nimenoga
Nimenoga, nimenoga, si nimenoga

Wanasema ‘Don’t drink and drive’ na bado back kuna parking
When I’m thinking about this life
Man I’m always shut the f*ck, shut the what?
Niggas wangapi nimewapoteza and in fact
Hata nikifa sizikwi na fedha, so na-spend nikiwa nacho
Daily nashinda macho
Mama ‘angu anajua Bill Nas universal
Unique person, kuni-follow me I think you need a passport
Google ukiwa na password
(oyo oyo) nimenoga
(oyo oyo) nimekoga

DJ, piga banjo
DJ, piga banjo
‘Cause party imependeza, na ma-shawty wameelea
Na drinks zinatembea, party
Tuna party leo
Uuh Tuna party leo
Uuh Tuna party leo
Uuh tuna party leo
Uuh

Party inabamba, party inabamba
Na party inabamba
Party inabamba, party inabamba girl
‘Cause party inabamba
Party inabamba, party inabamba girl
Na party inabamba
Party inabamba, party inabamba girl
Kaa juu

Party inabamba, party inabamba girl
Kaa juu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI