MISTARI YA WIMBO HUU

Ooh (Classic Music)
Oh ohh

Kulalama kufuru lakini
Naona ndio napoza moyo
Uwepo wako sawa na mwiba kidoleni
Ile tamu imegeuka shubiri
Nilipokuthamini nikakupa moyo
Hata kutendwa sikufikiri
Kinywa kizito kuukubali ukweli
Moyo unashindwa inaniuma ni hatari
Mapenzi yanatawala dunia sawa
Nimechoka kutawaliwa kama
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile Asali wanalina wengine
Siwezi kubishana na moyo
Nilikupenda kipepeo
Ila ile picha linaonyesha mapenzi yamekwisha
Go Ooh

Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia

Wanasema upendo wa kweli ndo hata haufutiki
Ila kwa baadhi najua
Right ningeelewa kuvuma kwa upepo hakutobadili misimu ya jua
Nilishajua miendeno yako
Tusingewezana aaha
Kumbe nakunywa maji ya moto na me bado mtoto
Kwangu changamoto mmh
Waliposema hufai
Nilijipa moyo ni ya walimwengu
(Bileke bizende bindi biloza)
Hata Lolly aliniambia
Labda thamani ya mapenzi ni kikombe
Sikukivunja sina thamani
Sawa nimelewa sana sina haja ya kung’ang’ana

Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na mi ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Na mi ntaudanganya moyo utatulia

Lolly Mwaah
K Records
Classic Music

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI