MISTARI YA WIMBO HUU

Nakula bata, I’m a bata boy
Kitu inapenda roho ndo na-enjoy
Pombe kali dry ntakula
Ila demu mchafu sitakula
Ni bata aliyenyooka, kapimwa na ruler
Sometimes kichina, nakula machura
Nakula bata, askari vipi sasa
Unataka bata Kama vipi nani kataa
Ma-cocktail we mix
Misosi we mix
Ni bata mwanzo mwisho hakuna ubishi
Bata wa kishua, bata wa kisela lazima hela
Nikiwa na boss J Murder, kwanza msosi
Halafu ndo kinywaji na bata anaongezwa kasi
Ukishafika ninoni, bata kama latino
Utakula bata unaoweza wewe Seke usilale usiku
Mwanandoa vua pete, ketok tuspata
Tupe raha, maa wacha tudate
Tupe raha, maa wacha tudate
Ukiona joto vua blouse baki na bra

Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Rusha mikono juu, kuonesha kama sio mpinzani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Na yoyote tu, mpendae twenzetu matani kwa miguu poa tu
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Kwani unamuhofia nani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Shwari tu, this is how we do
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Komaa na upo na mimi

Yoh raisi wa bata, mkali wa danta
Ramani ya jiji kwenye kiganja nimeikamata
Mi ni chata kila sehemu kama graffiti za Major
Bata zangu mi ni ndefu utapotea ukiniiga
Mi silali, nimeuza usingizi nimenunua kesha (kama CNN)
Mi nakesha kila sehemu
Uswazi, ushuani, kote mi niko ndani
Sio bata za kujificha kuogopa mapaparazi
Mi najiachia ile kichizi, miksa kumwaga radhi
Utaipenda, nikute club na wachumba
Jinsi navyotanda, nawaka nayumba
Mpaka nakuwa Stevie Wonder, autofocus kwenye macho
Noma kimpango wako
Nachokikuta mbele ndo hicho nasema nacho
Sijiulizi mara mbili ku-spend, ’cause na-hustle
Sisubiri mpaka ifike weekend, ndo niwe macho
Mtoto wa kitaa, kawaida yangu nakesha baa
Sina Jumatatu, Jumatano wala Ijumaa
Na-bang kama Nako
Ukishangaa naweza sepa hata na demu wako
Niko fasta kama cheetah kwa kuteka ushanipata
Niite bwax boy, bata boy, vyovyote unavyotaka

Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Rusha mikono juu, kuonesha kama sio mpinzani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Na yoyote tu, mpendae twenzetu matani kwa miguu poa tu
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Kwani unamuhofia nani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Shwari tu, this is how we do
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Komaa na upo na mimi

Niite bata boy na nakula bata kila sehemu
Cow Boy, nawa-forget, you all know my name
Mi, mi kama mi bonge la msanii
The best rapper, kila kiwanja VIP
Ndani ya TZ Bongo
Muulize Mlongo
King ka Ng’oko
Mi blaji no moko
Kuanzia T Square mpaka Coco, moko, moko
Boko, Tongwe home Boko
Achana na skani za bange
Chata kila chimbo
Runway Maisha club, Frican symbol
Kitambo ka Jos, Fid ndo big boss
Salama kama J Murder, money talks
Niko na Jeep Rider, hey Bock, wuddup
Please waweza cheki wakina Warda
Waambie lile bata la juzi, jana, leo
Na kesho pia lipo kama kawaida

Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Rusha mikono juu, kuonesha kama sio mpinzani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Na yoyote tu, mpendae twenzetu matani kwa miguu, poa tu
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Kwani unamuhofia nani
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Shwari tu, this is how we do
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Komaa na upo na mimi

Maisha ni mkwanja najua
Mapamba wanavua, wanavaa
Wanafua yanang’aa
Mapya nayanunua
Fasta napotua jamaa
Mi sio rapper, ni hustler
Nna rasta ukinifasta utaungua
Na bata ni kula raha huku unakata mapene
Na kuzikamata ka Ambwene
Umenipata beste
Mademu uliowadaka, wanadata wanauliza:
“Hii ni birthday”
Unawajibu hii ni game kama wanazoziona ESPN
Na demu ni demu, hata kama akiwa lesbian
Bila farasi kidume hawezi kuitwa Pollo
Jifanye hauna wasi hata akisema tomorrow
Shushia supu au ndizi ya kuiva
Nusu au moja ya lita maji
Kisha mruhusu aendage, you know
Bila nguvu kutumika, akijitusu mambo ikijipa
Ujue ndo ushakuwa head nigga in charge
Changamka bata boy, kijua ndo hiki
Usipo uanika, utaula mbichi

Mi ndo B-A-T-A-B-O-Y
Baba Johny, na-pop the bottle till I die
Spend money, na mzuka kama wa kimasai
Yero surubai, sida chukuru sema sidai
Mpe vodoo, zava, sambuka ama tequila
Ama gongo, nyagi, chipumu kama pampula
Kitu cha dry ssss, till I get high (say what)
Till I get high, bata boy

Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Nakula bata, I’m a bata boy
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Yoh raisi wa bata, mkali wa bata
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Niite bata boy, ila nakula bata kila sehemu
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Na bata ni kula bao huku unakata mapene
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
Baba Johnny, na-pop the bottle till I die
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy
(Tongwe Records, baby!)
Hivyo ndivyo nilivyo bata boy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI