MISTARI YA WIMBO HUU

Niko boo club non alcoholic
Ila pombe kitu gani I’m just roman catholic
Bartender please nipe Triple G and tonic
Then nikapate kitu ya chromic
Dark Master toa bonge la vibe
Ili two and one Bob Marley style
Yeah mtu mzima nika high ile high
Na cheba mtoto mkali bila chembe ya nishai
Nikaanza kumpa flows kama hali ya mto Nile
Kila dini nlotupa mtoto ana-smile
Na kwenye floor ananyonga tu zaidi ya python
Jeans mlege flani unaweza kuiona thong
Nikachukua video kwa ma camera phone
Huku nka-wish kama nae angeniweka kwa ringtone
Yeah yuko hot ka Cowbama’s rhymes
Au pindi ya summertime ndani ya DareEs Salaam holla

Ee ring mama ring mama leo magoma style
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa
Hey una-roll na star
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa

Embu shuka na macho ukilegeza
Ama dance ruka ka huogopi kuteleza
Em nyuka waonyeshe unavyocheza
Em kunywa vuta vitu juu ya meza
Em nishike nikupe good love
Em achana na hawa wauza sura
Sogea karibu Babylon nijidai
You’re so high you’re so fly
Kiss you mi hainipi burudani
Haki anani mami mi nataka nizame na chumbani
Pisu mbona iko kwa jirani
Haki anani amani nayo ijae tele ndani
We kubali mi ni wako
Hili zali limedondoka kwako
Kama kamari au michezo ya midako
Kote nimekosa fegi nimezima kwako

Ee ring mama ring mama leo magoma style
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa
Hey una-roll na star
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa

Please tuwe busy maa
I can build your world
You know I’m a rude boy and you’re a nasty girl
So let’s just stick together like a pair of shoes
And stay forever and ever like a skin and tattoo
My ghe-ghetto queen with no drama
Anatokea Hollywood Kenyama
My born-to-sex mama
Akitembea yake booty inadunda ka mziki wa Garadaz
Mama mwendo ka Naomi japo sio Campbell
Beautiful intelligent damn She’s an angel
Napenda toka nae shopping dinner
Popote napotimba nae heshima
Yuko kamili kama sixteen bars
My one and only ka MJ na Shaa
Just tell me have you seen her? Majani ashamuona
Hata Blue Diamond wamekubali kuwa ni noma

Ee ring mama ring mama leo magoma style
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa
Hey una-roll na star
Uwakomeshe mabitozi wapendwa na mtoto wa mtaa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI