MISTARI YA WIMBO HUU

Bed and breakfast
Bed and breakfast
Bed and breakfast
Bed and breakfast

Mambo yamejipa yaani BANG
Muda wa kupumzika umefika umecome again
Ndio maana watu wanashine
Ndio maana kila kona nayopita watu ni wengi
Ukidelay utapotea
Mtoto anajiachia kama ameshapata mmea
Kwenye bo body yake mi ndo sarveyer,mzeiya
Nazidisha miguso anadai (endelea)
Sa naona club haifai
Hata washkaji wangu nishawaambia bye
Mtoto ashalalia bega mi naride
Namuuliza anataka nini kwangu
Bed and breakfast

Ebwana mi nampa (bed and breakfast)
Hataki vingine anataka (bed and breakfast)
Aaah aaaah (bed and breakfast)
Satisfaction guaranteed (bed and breakfast)

Ebwana mi nampa (bed and breakfast)
Hataki vingine anataka (bed and breakfast)
Aaah aaaah (bed and breakfast)
Satisfaction guaranteed (bed and breakfast)

Tushafika mtoto nae yupo front
Bila kuchelewa mi nalock door
Kama tumeambiana simu ziko off
Chumba ndo cha baridi twapeana joto
Mlaini kama bamia mtamu ka lasagna
Slow but sure si kumvamia
Room sound proof so hutomsikia
Tukipeana huku nikimsmack
(You and I) Bed moja mtu mbili tu
(You and I) Sink moja povu mpaka juu
(You and I) YOU x7 you and I aaaaah

I dont care hata simu ikiwa ON sipokei
I don’t care hata waseme nini kwako siongei
I don’t care kwako sitapretend
I don’t care we ni duu mi ni rudebwoy
I don’t care hata kama nikikupa overdose
I dont care I dont care haaa haaaa

Ebwana mi nampa (bed and breakfast)
Hataki vingine anataka (bed and breakfast)
Aaah aaaah (bed and breakfast)
Satisfaction guaranteed (bed and breakfast)

Ebwana mi nampa (bed and breakfast)
Hataki vingine anataka (bed and breakfast)
Aaah aaaah (bed and breakfast)
Satisfaction guaranteed (bed and breakfast)

You took me to Paradise
You‚ are the one unayenijazz
Hook me with one more dose
Pleaseee one more dose
You took me to Paradise
You‚ are the one unayenijazz
Hook me with one more dose
Pleaseee one more dose

Karibu himaya ya Rudebwoy AY
Sura ya upole ila namba haifai
Anadai
Nimpe zaidi huku anacry
Nikirefuse basi she gonna die

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI