MISTARI YA WIMBO HUU

Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my style
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo)
Ta  ta  tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  ya mkaa

Inabidi waka honge promo
Na ka ligi haka si ndo somo
Wanawivu mpaka umevuka ukomo
Wamezidi wanachonga domo
Zidi ya
Weusi wale ni watu wa media
In deed yah
Mziki naofanya hii ni ligi ya
Mainstream ni ubepari cheki Libya
Syria  si mkali u-maintain kwa superior
Creativity   credibility
Capability ndo speed ya hii sekta
Serekalini wanaspid ya trekta
Mshahara ule ule kila mwezi haumati
Wakati biashara ina mwezi wa kismati
Ukiwa smart ni game kulipa vat
Kwanza lipia pango na frame ya mzee Kimati
Na haina kiinua mgongo ni ku-maintain peak
Mpaka uzeeni ka vile King Kikii
Sina ki  ki kuwapa kimziki
Kama Bi. Kidude kifo changu ndio ‘pic
(Wa pili Nikki)

Okay

Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei

I’m killin’ em

Magari yanawakia maskani bila starter
Mtihani wa kabwela menyu inayofata
Ukombozi ni maamuzi play smarter
Ghetto pia ni shule na somo alikua papa
Bei ya mkaa, mafuta ya taa na ukapa
Kama huongezi hela zangu chapa lapa
Siwaamini vidampa, mkumbo sijafata
Forever young hapa, kitaaluma rapper
Papa Saigon shout out mazee
Papa Mungu niongezee
Iwe pah pah mkubwa niwale mapedeshee
Kwa mapaparazi rushwa isiendelee
Maktaba shazi wengi wakajisomee
Pah pah  pisto yangu nisiwabebee
Papa Frans wakristo utuombee
Papa watasnia atulegezee
Puff puff moshi ngada wasintembezee
Wanasafisha hela nchini mapedeshee
Mjini kuwalipia video mayebedee
Yebebe  yebebee
Ule ndo mtaji wa dume Anti Dedee
Anti Dedee  Anti Dedee
(Hehehee   nimepiga freestyle )

Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei

Clap clap
Clap clap
Yehh
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei   (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei  (ya mkaa)
Bei
Yeahhh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI