MISTARI YA WIMBO HUU

Maisha haya
Ninayo yaishi
Mara ninapanda
Mara niko chini

Maisha haya
Ni kama duara
Mizunguko mizunguko
Mbele nyuma zote zafanana
‘kiangalia
Kushoto kulia
Matatizo matatizo
Nami nani ataniokoa

Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day
Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day

Be my eyes
When the night is drawing nigh
And the darkness fills my eyes
Mimi kipofu sioni
Be my strength
Be the energy that drives
Me to go the extra mile
Saa zile mimi siezi
Be my wind
Be the wind beneath my wings
Help me fly into the sky
Way up high where you are

Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day
Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day

Macho yangu juu
Macho yangu juu
Na mimi naona
There’s gonna be a better day
Macho yangu juu
Macho yangu juu
Na mimi naona
There’s gonna be a better day

Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day
Na nikiinua macho yangu juu
Mimi naona ona
There’s gonna be a better day

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI