MISTARI YA WIMBO HUU

Black chata
Black chata eeh eeh
Pande zote za mtaa wanajua mi ni masta
Black chata
Black chata eeeeh eeeehh eeehh
Nakaba mpaka vivuli ona winga inavyokata
Black chata
Black chata

Kudadadadeki naflow nablow
Style zangu zinachoma kama moto
hebu check ninavyoblow
Heiiiy wanauliza mbona mimi sitoki
Namba moja kila siku kwenye chati sitoki
Naflow nafloat siwezi kulost siwezi kufanya mambo yatakayonikosti
Hawani-malizi hawanikatizi sifanani nao kama macho ya wa-Chinnese
Sifanani nao check level za anga hizi mimi mgumu daima nitadumu
Wao kama mayonizi na bado nimo humuhumu na kato sitosizi
Sichimbiki sipimiki na sifunikiki kama mercury sakafuni mi huwa simwagiki
Hii ndio desturi asiyenipenda ona atajenga chuki
The Dan dada nasoma jalada nachoma mashada
Hapa mi ndio kada ok…

Hawa mapungazeze wala hawafikiri
Risasi zao ni maji kwangu hazina dili
Na wala hamnitishi hata mkija wawili
Ujanja wangu mitindo yangu sio ya kuikabili
Salute nastahili kuruti hunikabili
Nanyuti ukijenga chuki hunikuti kimashairi
Mi ndio namba 1 gangstar eeh namba 1 rapstar
Namba 1 for real we namba 1 wanksta
Mi ni don wa madonboss wa maboss
Kama fire mimi nina burn wananiona mi mikosi
Eeh kaa mbali ni kama nakupa tu tahadhari
Jihadhari usishindane na mimi kwa mistari
Mi ni soo jooh nimepita sana madojo
Ulimi laini kama mifupa ya wabogojo
Unaona bwana
Waeleze waeleze bwana black chata bwana we are

Black chata
Black chata eeh eeh
Pande zote za mtaa wanajua mi ni masta
Black chata
Black chata eeeeh eeeehh eeehh
Nakaba mpaka vivuli ona winga inavyokata
Black chata
Black chata

L .U. double C. I
Mi ndio luchi so fly
Najijua najidai kama hupendi take a hike
Guess what kwenye verse like Luchi kama lifestyle
Luchi ndio famous tena soja

Heey heey heey heey
Heey heey heey heey
you know what it is
Heey heey heey heey
Heey heey heey heey
It’s your boy
Blacka blacka blacka
Rhino baby
You know what it is

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI