MISTARI YA WIMBO HUU

Sina makosa afande uniwie radhi
Nimetoka kuimba
Kitambulisho mi sina
Nimepoteza wallet na Sijachukua nyingine
Sijakataa
Kosa nililofanya ah
Sijakataa
Kitambulisho sina
Sijakataa
Chini nimeshaketi
Usiniseti afande
Usiniseti afande

Hey you in the blue uniform
If i have wronged you i will reform
Raia analia kilio
Hey you hey you

Natambua kwamba hamna kosa
Ulilofanya eh
Kitambulisho wewe hicho hauna
Nikufanyeje
Mapato yangu ni madogo
Nategemea kidogo
Ni kazi yangu ujira wangu
Hujakataa kosa ulilofanya
Hujakataa chini umeshaketi
Hujakataa kitambulisho hana
Nitakuseti raia
Fuata sheria

Umezoea kuchelewa siku mingi
Nimekulenga
Naona watuzoea
Kuanzia leo mi nakuonya
Ujichunge
Ama nitakuweka ndani
Hujakataa kosa ulilofanya
Nakuonya wee
Mwananchi wewe
Nitakuacha leo uende nyumbani
Onyo kwako wee raia wee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI