MISTARI YA WIMBO HUU

Wooh
D Knob mitaani most wanted book
Yeh yeh yeh respect
Kwani haya sio mapenzi ya siku zote ndio maana mwenzio naumiaga moyoni
Kwani haya sio mapenzi ya siku zote ndio maana mwenzio naumiaga moyoni
Palallalalililo ooh wooh
Palalililililililoo aagh

I hate to say it
But bora tumeachana
Tulipendana kwa dhati tukatengana kimasihara
Haikuwa deal yaani alitoka nje sikurudi ndani
Asubihi ilikuwa shwari
I guess we both had sum fun
Sikupenda alivyonitreat hakupenda nolivyomcare
Sikufeel aliponikiss hakuenjoy nilivyomkwea
Utofauti sio kilema waliosolve waliongea
Kuongea sio kuelewa nahisi ndio maana akaanza afair
Kuelewa sio kuelewa ndio maana nikaanza afair
Nilivyompata wa kunitreat alimpata wa kumcare
Nikafeel alivyonikiss akaenjoy alivyomkwea
Ilivyoota mizizi kila mmoja akanogewa bora

Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Kila siku makele kwani bora jana kuliko leo
Mavurugu hayaishi nyumbani

Alinichagulia suti alinifunga tie
Sikumvisha pete kugushi
Kumchezea we got married
Alinifunga shoes alinikiss bye
Home nilivyochelewa kurudi alimind
Nilisikia wivu aliposifiwa barabrani
Nilivyomwosha mgongo nae aliuosha mine
Nilivyomrisha kwa mdomo machoni alinitani
Sex sio kikomo kila kona tuliburn out
Nilivyomshika kiuno alinishika begani
Hakuna aliyejua mwisho nani angekuwa nani
Cuz hivi navyoongea yuko mbali anajivinjari na kijana wa kitaani
Nami niko juu nammega shani bora

Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Kila siku makele kwani bora jana kuliko leo
Mavurugu hayaishi nyumbani

Wanasema aliyependa akichoka ndio amekwenda
Na aliyekwenda akipotea anahitaji maajabu kurejea
Aliyechoka kutembea atakaa au atakimbia
Tumeumbwa kupondea kukinai na kuzoea
Watoto wanadata na vurugu za chumbani
Hisia zikikata hakuna cha udi wala ubani
Wivu tuliojua zamani
Sasa hatuujui kuna kipindi alirudi nite kali
Nikarudi asubuhi beef tulizozijua zamani
Kamwe hatuzijui
Sasa tunagonganishana magari na hazirushwi ngumi
Kuachana sio poa ila sumtime inabidi
Kupata mwanya wa kujitambua na kuheshimu maamuzi
Ndio deal
Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Mapenzi gani ya kukatana stimu maa
Bora tumeachana na na
Kila siku makele kwani bora jana kuliko leo
Mavurugu hayaishi nyumbani

Mitaani most wanted
D Knob
Matonya Villy
We out

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI