MISTARI YA WIMBO HUU

Ayaa!
Carrick!

Hupaswi kukaa kinyonge ukiwa na mimi
Jiachie
Jihisi uko peponi
Ita rafiki zako kina nanii
Waambie mbuzi iko jikoni
Ng’ang’ana na mimi nyota usafirie
Kaa karibu na uwaridi unukie

Jiamini
Tena uringe ukiwa na mimi
Sema unataka nini
Gari pesa manyumba madini

Aah
Napenda unavonipaga mapocho pocho (pocho pocho)
Ndo mana nakuhongaga maposho posho (posho posho)
Kashepu kako kakumwaga mbwete mbwete (mbwete mbwete)
Ndo mana ukikata kidogo ni tepe tepe (tepe tepe)

Kweli kweli leo
Sema shopping unataka wapi
Gucci
Unataka LV
Ama unataka kuvaa D&G
Utatoka na Ferrari
Ama unataka Lamborghini
Make up nzuri kwa Natalie (chop my money)

Ah nasema bosi
Bosi bosi
Bosi
Mi ndo bosi
Ale sema bosi
Bosi bosi
Bosi
Mi ndo bosi

Aah
I’m a billionaire
Unachokitaka utapata kwangu
I’m a billionaire
Wavimbe wapasuke mi sijali
Mtoto alivoumbika
Hajaniita naitika
Amenikamata sina ujanja mie
Niache niringe mie
Niache nideke mie
Anavyonipenda nami nampenda mie

Nikiwa na wewe najiamini
Sitaki vijana wa mujini
Nyumba magari na madini
Nipe baby
Nitaishi na wewe milele
Daima nitakuweka mbele
Maisha yangu umebadili wewe baby

Baby wangu high level si local local (local Local)
Nimeona we vyako vitendo si ropo ropo (ropo ropo)
Moyo wangu umeshaloa nyeke nyeke (nyeke nyeke)
We fuko la pesa sipigi teke teke (teke teke)

Sheri nalinga kayo mingi eh
Yozali mobali yali na ngai
Atoba lobi sepamba eeh
Ngana kolinga kakayo
J’taime
J’taime merre
Hurevin motema na ngai (sheri eeh)

Napenda unavonipaga mapocho pocho (pocho pocho)
Ndo mana nakuhongaga maposho posho (posho posho)
Kashepu kako kakumwaga mbwete mbwete (mbwete mbwete)
Ndo mana ukikata kidogo ni tepe tepe (tepe tepe)

Nasema bosi
Bosi bosi
Bosi
Mi ndo bosi
Ale sema bosi
Bosi bosi
Bosi
Mi ndo bosi

Apocalypse Bella
Guzman
The Millionaire
Kingdom Music

Ah B Daddy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU