MISTARI YA WIMBO HUU

Usoni tuna ngenya bado tunapendwa
Mifukoni sio njema bado tunapeta
Waambie watoto wa mama furaha yetu sio pesa
Sio pesa furaha yetu sio pesa
My niggas wanakunja my niggas wanakunja tu
Wanakunja tu
Na sisi tunadunda na sisi tunadunda du
Tunadunda du
Hai oh nikipiga dili namcheki mommy oh
Nakumbuka kwanza nyumbani oh
(Chafu pozi)
Mara natoka na fulani oh (ndo basi tena)
Dili ka buki la man oh (ndo basi tena)
Mara navuta mjani oh (ndo basi tena)
Maneno kitu simple
I got love for my people

Heyo natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Maneno kitu simple (chafu pozi)
I’m more than you vision (chafu pozi)
I got love for my people (chafu pozi)
I know I’m the mission (chafu pozi)

Hii ni kwa wanangu wanaoishi chini ya dollar moja
Waambie watoto wa kiswazi ndo vile tunajikongoja
Shida kitu gani na tunaishi mara moja
Waki-hit siwachukii streets ninawanyonya

Wangetoa ridhiki wao (ndo basi tena)
Isingekuwa hivi now (ndo basi tena)
Wangetoa ridhiki wao (ndo basi tena)
Isingekuwa hivi now (ndo basi tena)

Ni noma kuwa na wana wana wanafkichi
Ni bora kuwa na mchawi kuliko wana wanafiki
Fitina zao uzushi kibao
Wanatengeneza chuki mi nashiriki yao
Haya cross dongo
Nashukuru Mungu ananipa michongo
Nazidi kung’ara na naiteka Bongo (Bongo)
(Ndo basi tena)

Heyo natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Maneno kitu simple (chafu pozi)
I’m more than you vision (chafu pozi)
I got love for my people (chafu pozi)
I know I’m the mission (chafu pozi)

Hii ni kwa wanangu wanaoishi chini ya dollar moja
Waambie watoto wa kiswazi ndo vile tunajikongoja
Shida kitu gani na tunaishi mara moja
Waki-hit siwachukii streets ninawanyonya

Mi naenda mi naenda
(Heyo natoka chafu pozi)
Mi naenda mi naenda
(Heyo natoka chafu pozi)

Heyo natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi chafu pozi
Maneno kitu simple (chafu pozi)
I’m more than you vision (chafu pozi)
I got love for my people (chafu pozi)
I know I’m the mission (chafu pozi)
Maneno kitu simple (chafu pozi)
I’m more than you vision (chafu pozi)
I got love for my people (chafu pozi)
I know I’m the mission (chafu pozi)

Chafu pozi
Natoka chafu pozi
Chafu pozi chafu pozi
Natoka chafu pozi

Amani Limo whats up
Heyo natoka chafu pozi
To-toka chafu pozi
(To-toka chafu pozi)
Chafu Pozi
(Free Nation)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI