MISTARI YA WIMBO HUU

Nilikupenda tangu mtoto nitenganishwe na nani?
Nitakufata uendako sitasimama njiani
Huwa nadhani hii ni ndoto
coz am in love with coco coco
Mimi kurwa wewe doto
Nikukosa tumbo joto

Ninampenda ahaa
mimi ni wakeee
Ninamtaka ahaa
Mi siku zotee
She’s beautiful ahaa ahaa mmmhh
Of course she’s beautiful aha ahaa

Twende sawa
Mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo che che che
Sawa mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo chee che sawa
Mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo che che che sawa mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo chee che sawa

Nimeamua nikukamate
na tena nisikuache
Mikono yangu uishike (baby ya so beautiful)
Na popote unifate
Nimeamua nikukamate (beautiful)
Na tena nisikuache
Mikono yangu uishike
Na popote unifate

Ninampenda ahaa
mimi ni wakeee
Ninamtaka ahaa
Mi siku zotee
She’s beautiful ahaa ahaa mmmhh of course
shes beautiful aha ahaa

Twende sawa
mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo che che che
Sawa mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo chee che sawa
Mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo che che che sawa mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo chee che sawa

Nakupenda (you already know)
Nakutaka (will never let you go)

Twende sawa
mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo che che che
Sawa mi kwako che che che
Sawa sawa mi moyo chee che sawa
Mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo che che che sawa mi kwako che che che sawa sawa
Mi moyo chee che sawa

Nakupenda

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI