MISTARI YA WIMBO HUU

Mesen na Yamoto, Mesen na Yamoto
Mesen na Yamoto, Mesen na Yamoto
Mesen na Yamoto, Mesen na Yamoto
Mesen na Yamoto, Mesen na Yamoto

Nilisema unipigie, unipigie kabla ujatoka
Unipitie, unipitie mwenzako nimechacha
Iweje unizimie, unizimie na simu ukasepa
Unikimbie eeh

Nimekuja na miguu kufata burudani
Uuuh na nimepata tabu hadi kuingia ndani, aibuuu

Aiyaaaaa
Kinyamkela dibwee, Kinyamkela dibwee
Kinyamkela dibwee
Ah ah ee ae
Kinyamkela dibwee, Kinyamkela dibwee
Kinyamkela dibwee

Ingia kati uone shetani nimeingia
We mama zungusha kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno, kakupa God kiuno
We mama zungusha kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno, kakupa God kiuno

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Sema
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeeh cheza kwa madoido, kwa madoido manjonjo

Wajawazito ni ruksa ndani kujifungua ehh
Madaktari ni wengi sana wanasakata bazugi
Aliye kuja na guta nje aje kulitoa ehh
Maana kupaki vibaya watu wanataka nafasi

Aee masai na mamaaa (yoooh)
Marungu na simeee (no no nooo)
Msije gombana (ukoo)
Mkatoa watu shingo

Ahh we chiba ebu wacha magongo
Ukijazama nayo mi nitakupa kipondo
Na we panya uwachage kuruka ukuta nikibadilika
Nakua na hasira za paka

Zamani babu kanifunza kucheza, ishara ya kufurahi
Huna sababu ya kununa wakati ngoma ing’ai ing’ai
Uwe mwaarabu sijui mchina pandisha mori kama masai
Zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai

We furahi jidai, na cheza kwa mbwembwe
Usione hatari kufurahi, hata kama kikongwe
Uko mali we karibia, Yamoto tuku konge
Wote shida zetu ziko nyumbani
Hapa turuke ili songi eh

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Sema
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeeh cheza kwa madoido, kwa madoido manjonjo

Mensen na ya moto
Cheza kwa madoido kwa manjonjo

Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Ale cheza kwa madoido kwa manjonjo
Sema
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeeh cheza kwa madoido, kwa madoido manjonjo

Mesen na Yamoto, Mesen na Yamoto

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI