MISTARI YA WIMBO HUU

Napenda, mimi napendwa
Napenda mie
Napenda, mimi napendwa
Napenda mie

Hata iweje sitobadilika
Kwa penzi lake mimi nimefika
Naempenda ananipenda
Sitoweza kamwe kumtenda
Naempenda ananipenda
Sitoweza kamwe kumtenda
Penzi lake sitaki kulikosa
Sitaki waza itakuwaje akinitosa
Nitalia, nitaumia
Hadi ajue kiasi gani mi nampenda ye

Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma

Napenda, mimi napendwa
Napenda mie
Napenda, mimi napendwa
Napenda mie

Niko tayari kula kiapo
Mbele ya mashahidi wa dunia hii
Jinsi moyo wangu we umeusitiri
Toka kwenye kadhia na dhoruba za mapenzi
Wapenzi wa zamani, wakina fulani
Umefanya machozi nkafuta
Furaha yangu ilokufa ikafufuka
Nakupenda, ntakupenda
Penzi letu ntalilinda daima
Nitapokwenda ntakukumbuka
Pengo lako hakuna atakae ziba
Nakupenda, ntakupenda
Penzi letu ntalilinda daima

Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma
Pendo lako we lanichoma choma
Lanichoma choma

Napenda, mimi napendwa
Napenda mie
Napenda, mimi napendwa
Napenda mie

Oh oh nampenda baby, nakupenda baby
Nakupenda wewe, penda wewe, penda wewe
Penda baby, nakupenda baby
Nakupenda wewe, penda wewe, penda wewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI