MISTARI YA WIMBO HUU

Wanyama!
Kama huna swag za kinyama uta-kick back
Yeah, mzee kasema tunakula shavu
Tena!

Nasema haya ndo madini
Haya ndo madini, haya ndo madini
Ndo maana mi na hamu
Ndo maana mi na hamu, ndo maana mi na hamu
Nazama we chumvini
Nazama we chumvini, nazama we chumvini
Nataka haya madini
Nataka haya madini, nataka haya madini

Put your hands in the air
It’s a party over here
Eh put your hands in the air
There’s a party over here

Zeze nakuganda, zeze nakupenda
Hadi rahisa anachukia, rahisa anachukia
Ukaleta mapepe, mapepe sipendi na usideke
Ukaharibu pozi na uniteke nikupende
Wenye wivu wajinyonge

Nasema haya ndo madini
Haya ndo madini, haya ndo madini
Ndo maana mi na hamu
Ndo maana mi na hamu, ndo maana mi na hamu
Nazama we chumvini
Nazama we chumvini, nazama we chumvini
Nataka haya madini
Nataka haya madini, nataka haya madini

Put your hands in the air
It’s a party over here
Eh put your hands in the air
There’s a party over here

Mtoto anabamba kitaani, mjanja kazini
Ah kitu hadimu sio famba sokoni
Nabamba hadharani, shanga kiunoni
Na madini ya thamani siwezi kuonga kidani
Anachopenda ni jinsi navyommudu chumbani
Hatokei Kendo ila anahusudu chumvini
Sio anataka safura, hii yote ni mimi
Hamna hela ya kumfanya, mfanya lolote ni mimi
Sera za wapinzani it’s all about me and you
Bila shaka na mwandani huyu demu mpaka aseme duh
Hamna kingine it’s me and you, do what we do
And parley, paparazzi be flashing of what we do
Ni TID na Jay to the Moe
We be taking you from the ceiling to the floor
We killing with this song, we never do it wrong
Oh no she’s chilling, she’ll never say no

There’s a party over here
Natokea we Downtown mpaka Kino
Simu yako kwenye sikio
Najua na bata kwenye mapenzi
Nimepata mpenzi
Najua mapepe mimi sipendi
Nacheza na pozi
Wenye wivu wajinyonge
Najua mapenzi mimi sipendi
Nacheza na pozi
Na wenye wivu wajinyonge
(Wenye wivu wajinyonge, wenye wivu wajinyonge)

Nasema haya ndo madini
Haya ndo madini, haya ndo madini
Ndo maana mi na hamu
Ndo maana mi na hamu, ndo maana mi na hamu
Nazama we chumvini
Nazama we chumvini, nazama we chumvini
Nataka haya madini
Nataka haya madini, nataka haya madini

Put your hands in the air
It’s a party over here
Eh put your hands in the air
There’s a party over here

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI