MISTARI YA WIMBO HUU

Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha

Usiniite half man niite man and a half
You think small and you’ll remain small for life
Hatuwezi piga same instrument but we can all be in the same key son
Experience makes a person better or bitter
Naeza flow slow lakini brain ina speeder
Na si-miss train kama pain inavyoumiza
Na-gain tu kila mida
Complain nazimaliza (what else)
Naulenga mwezi na jua hata nikiukosa nitatua tu juu ya nyota
Na mambo yatakuwa shkopa (usi-freeze)
Kwasi Fid kasema you need to try ye sio polisi
So please ni halali sikatai
Wala usim-diss kama emcees toke mrithi baadae
Muulizie weeds kama Fid wa siku hizi na showbiz defined
Ma-snitch wana-diss Fid love afu song yenyewe nishai
Hawasikiizi jinsi navyo-flow ka Geez Rewind

Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha

Bastola cash and toa code someka
Wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka
Napesa mingi mpaka natamani jiteka
Then watu wako kingstone ka Jamaica
Ni ma model madodo waku-roll na ma-gangsta
Divas and hustlers paper-chasers
Nani anaeza piga ngoma kali ka hii (Me)
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii (P)
Yeah you know that ni Bongo Records true
Na Q East Zoo tu juu au siskii
Usipime hizi records ziko heavy plus none above it man
(You gotta love it man)
Leo ni mwendo wa gambe tu na malavidavi
Tunao warembo wakali matata ka Flavi (what)
Tunapata zetu couple of rounds then yeah
We out of the town

Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha

Watu wana dough yaani mpaka soo
Na bado daily wana-get more
Kwa mishe na kali flows
Watoto wa mama wana-blow
Dada zao beki hazikabi
Wataka tuwe wao baby daddies
Wapate ya ki-gangsta ki-hardcore
Tukikesha kama CNN

Yoh kwa kukesha na kula bata tuko so allergic
Kwa watoto wa geti kali we so magnetic
Mapedeshee wanapigwa tu mitama account zao
Si tunazidi chafua bedsheets za mama zao
Tunajikinga japo wanamaindi kuzaa nasi
Wanathamani ya diamond na tunawabeba for free
Ishu zote unasimamia playboy ana-understand
Na leo kesho akizingua unataka her bestfriend
Holla

Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
Then tuko high zaidi ya KLM
Then tunakesha kama CNN
Kesha kakesha kesha
Kesha kama CNN
Kesha kakesha

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI